Sifa na majina ya siku ya mwisho siku ya kiyama
Sifa na majina ya siku ya mwisho siku ya kiyama
siku ya mwisho katika Quran imepewayafuatayo:
Siku ya Qiyama (21:47, 75:1, 75:6, 79: 42) Siku ya mwisho (2:4, 2:8, 58:22)
Siku ya malipo (1 :4, 82:9, 95 :7, 107:1, 83 :11) Msiba ugongao nyoyo (101:1)
Siku ya hukumu (77:13-14)Wakati maalumu (56:49-50)
Siku ya makamio (50:20)
Siku ya makutano (40:15)
Siku iliyokaribu sana kufika (40:18)
Siku ya kuitana (40:32)
Siku ya kutoka makaburini (50:42)Tukio lilokaribu, limesogea
Siku zitakapotikisika mbingu mtikisiko wake 187
(xiv)Siku ya kukaa daima (50:42)
(xv)Siku zitakapofichuliwa siri (86:9)
(xvi)Tukio la Haki (69:1-3)
(xvii)Siku ya Haki (78:39)
(xviii)Tukio kubwa (56:1-2)
(xix)Siku iliyokadiriwa (85:2)
(xx)Msiba ukumbao (88:1)
(xxi)Siku iliyokuu (83:5)
(xxii)Siku ya mkusanyiko (64:9)
(xxiii)Siku ya Hisabu
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 web hosting 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Nguzo za Imani kwa mujibu wa mafunzo ya kiislami.
Makala hii inakwenda kukufundisha kuhusu nguzo sita za imani katika Uislamu.
Soma Zaidi...ALAMA YA MUUMINI WA UKWELI KATIKA UISLAMU
عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم قَالَ: "مَنْ كَانَ يُؤْمِنُ بِاَللَّهِ وَالْيَوْمِ...
Soma Zaidi...Mtazamo wa uislamu juu ya Elimu, nini maana ya elimu na nani aliye elimika.
Ni nini maana ya Elimu na ni nani aliye elimika? Uislamu una mtazamo gani juu ya Elimu?
Soma Zaidi...