picha

Zoezi - 4

Zoezi - 4

Zoezi - 4


1. Nukuu aya ya Qur-an au tafsiri yake inayotufahamisha lengo la kuletwa binaadamu hapa ulimwenguni.



2. “(Wakumbushe) wakati Mola wako alipowaambia Malaika, “Mimi nitaleta khalifa katika ardhi...” (2:30) Kwa mnasaba wa aya hii khalifa ni .



3. “Mwenyezi Mungu amewaahidi wale walioamini miongoni mwenu na kufanya vitendo vizuri kuwa atawafanya makhalifa katika ardhi kama alivyowafanya makhalifa wale waliokuweko kabla yao, na kwa yakini atawasimamishia dini yao aliyowapendelea na atawabadilishia amani baada ya hofu yao. Waw e w ananiabudu, haw anishirikishi na chochote...” (24:55) Kutokana na aya hii tunajifunza yafuatayo:


(i)


(ii)


(iii)


(iv)



4. Waumini wa kweli katika jamii wanadhima ya kufanya yafu atayo:


(i)


(ii)


(iii)




5. Kwanini Waislamu wanalazimika kuusimamisha na kuuhami Uislamu katika jamii? *************************




                   


Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Jifunze Main: Post File: Download PDF Views 1455

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 web hosting     👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉5 kitabu cha Simulizi     👉6 Madrasa kiganjani    

Post zinazofanana:

KULA HALALI NA ZILICHO KIZURI NI AMRI KATIKA UISLAMU

عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه و سلم "إنَّ اللَّهَ طَيِّبٌ لَا يَقْبَلُ إلَّا طَي...

Soma Zaidi...
Uandishi wa hadithi wakati wa maswahaba wa mtume (s.a.w)

Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...