JE KWA MFANO MIMI NMEUPATA UKIMWI LEO NA SIHITAJI KWENDA KUPIMA YAAAN UANZA KUJIONYESHA BAADA YA MUDA GANI


image


Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuwa ukimwi huonekana baada ya muda gani toka kuathirika?


Swali: 

✍️Je kwa mfano mimi nmeupata ukimwi leo na sihitaji kwenda kupima yaaan uanza kujionyesha baada ya muda gani 

 

✍️Ukimwi kwa mfno uanza baada ya muda gani nielekeze hap na hua ni endelevu hizo dalili

 

Jibu: 

👉Dalili za ukimwi huweza kujitokeza baada ya miaka 5 mpaka 10 toka kuathirika. Wipe wengine wanaweza kuchelewa zaidi ya hapo. 

 

👉Dalili za HIV huanza kuonekana baada ya wiki ya pili mpaka wikivya situ toka kuathirika. Dalili hizi si endelevu,  hupotea ndani ya wiki hizo. 

 

Kujuwa zaidi body's link Link 🔗 hii



Sponsored Posts


  👉    1 Maktaba ya vitabu       👉    2 Hadiythi za alif lela u lela       👉    3 Mafunzo ya php       👉    4 Magonjwa na afya       👉    5 Jifunze fiqh       👉    6 Mafunzo ya html kwa kiswahili    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Kuhusu HIV na UKIMWI
Somk hili linakwenda kukueleza kuhusu Mambo mbalimbali yahusuyo HIV na UKIMWI Soma Zaidi...

image Je kwa mfano mimi nmeupata ukimwi leo na sihitaji kwenda kupima yaaan uanza kujionyesha baada ya muda gani
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuwa ukimwi huonekana baada ya muda gani toka kuathirika? Soma Zaidi...

image Dalili za UKIMWI
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za UKIMWI Soma Zaidi...

image Je daktari hizo dalili zamwanzo za HIV hazioneshi kama mwili kupungua
Dalili za HIV zina utofauti na dalili za UKIMWI. Kwani HIV huwezakuonyesha dalili wiki ya pili hadi ya sita baada ya kuathirika kisha zinapotea, lakini dalili za UKIMWI huwezakutokea baada ya miaka 5 hadi 10. Soma Zaidi...

image Mafidodo (mafindofindo) au tonsils kweye koo je inaweza ikawa Ni moja kati ya dalil za ukimwi
Tezi za lymph huanza kuonyesha dalili za kuwa mwili upo katika mapambano dhidi ya vijidudu vya maradhi. Ishara ni pale utakapoona tezi za lymph zina maumivu. Tezi hizi hupatikana kwenye mapaja, kwapa nashingo. Soma Zaidi...

image Kushiriki ngono na mtu aliye na vvu na ukimwi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu kushiriki-ngono-na-mtu-aliye-na-vvu-na-ukimwi Soma Zaidi...

image Dalili za VVU/UKIMWI Ni zipi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za VVU/ UKIMWI Soma Zaidi...

image Je mtu akapima ukimwi na kile kipimo kidogo .je kina usahihi au la ..na pia kama inaonyesha mistari miwili.
Hivi umeshawahi kuwazakuwa jekipimo cha HIV ni sahihi kwa kiasi gani. Unadhani huwa kinakoseaga kutoa majibu? Soma Zaidi...

image Haya hayawezi kuambukiza UKIMWI
Somo hili linakwenda kukuletea mambo ambayo hayawezi kuambukiza UKIMWI Soma Zaidi...

image Kushiriki ngono na mtu aliye na VVU na UKIMWI
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kushiriki ngono na mtu aliye na VVU na UKIMWI Soma Zaidi...