JE MAAMBUKIZI YA VIRUS VYA UKIMWI YATAONEKANA KWENYE KUPIMO BAADA YA SIKU NGAP??


image


Ni muda gani nitaanza kuona dalili za HIV na kilimo kitaonyesha kuwa nimeathirika?


Swali: 

👉je maambukizi ya virus vya ukimwi yataonekana kwenye kupimo baada ya siku ngap??

 

👉na unaweza usione dalili za awali kama mlivyoeleza katika hatua ya mwanzo afu ukapima ukakuta una maambukizi?? 

 

👉Na je unaweza ukapata maambukiz ya virus vya ukimwi kwa kudondokewa na dam ya muathirika katika kidole chako ingawa hauna jeraha kidolen???

 

Jibu: 

✍️Virusi vya ukimwi inategenea na aina muya vipimo ulivyitumi. Ila angalau wiki tatu unaweza kupima na ukajuwa kama umeathirika ama laa. Hata hivyo utahitajika kuhakiki vipimo baada ya miezi mitatu.

 

✍️ Ndio inawezekana usione dalili za kwanza za HIV na uwe umeathirika. Si kaka aliyeathirika utaona Dalili hizi. 

 

✍️ kama umedondokewa na hiyo damu hapo ka hapo na hunamichubuko. Huwezi pata maambukizi. Ila kama jambo linakutatiza fika kituo cha afya uoatiwe sawa za awali za tahadhari. 



Sponsored Posts


  👉    1 Mafunzo ya html kwa kiswahili       👉    2 Jifunze fiqh       👉    3 Hadiythi za alif lela u lela       👉    4 Mafunzo ya php       👉    5 Madrasa kiganjani       👉    6 Maktaba ya vitabu    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Chanzo cha VVU na UKIMWI
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyanzo m ali mbali vinavyohisiwa kuwa chanzo cha UKIMWI Soma Zaidi...

image Sasa UKIMWI unatokeaje?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia ambazo UKIMWI hutokea Soma Zaidi...

image je Kama utaonekana kupatwa na homa,kichwa,tumbo, kiharisha kwa siku moja( ya kwanza) na vyote kupona siku nyingine (ya pili kupona) pasipo kutumia dawa inaweza kuwa Ni dalili ya ugonjwa wa zinaa ?
Homa ni moka ya dalili inayohusiana na maradhi mengi sana. Unaweza kuwa na homa ikawa pia si maradhi kumbe ni stress tu. Je unasumbuliwa na homa za mara kwamara, Makala hii ni kwa ajili yako Soma Zaidi...

image Je kwa mfano mimi nmeupata ukimwi leo na sihitaji kwenda kupima yaaan uanza kujionyesha baada ya muda gani
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuwa ukimwi huonekana baada ya muda gani toka kuathirika? Soma Zaidi...

image Kushiriki ngono na mtu aliye na VVU na UKIMWI
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kushiriki ngono na mtu aliye na VVU na UKIMWI Soma Zaidi...

image je maambukizi ya virus vya ukimwi yataonekana kwenye kupimo baada ya siku ngap??
Ni muda gani nitaanza kuona dalili za HIV na kilimo kitaonyesha kuwa nimeathirika? Soma Zaidi...

image Haya hayawezi kuambukiza UKIMWI
Somo hili linakwenda kukuletea Mambo ambayo hayawezi kuambukiza UKIMWI Soma Zaidi...

image Dalili za UKIMWI
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za UKIMWI Soma Zaidi...

image Je mtu akapima ukimwi na kile kipimo kidogo .je kina usahihi au la ..na pia kama inaonyesha mistari miwili.
Hivi umeshawahi kuwazakuwa jekipimo cha HIV ni sahihi kwa kiasi gani. Unadhani huwa kinakoseaga kutoa majibu? Soma Zaidi...

image Je wiki 1 dalili zinaonyesha za maambukizi ya ukimwi na wiki 3 vipimo vinaweza kuonyesha Kama umeasilika
Muda ambao maambukizi ya virusi vya ukimwi kuonyesha dalili unaweza kutofautiana kutika mtu hadi mwingine. Soma Zaidi...