Baada ya kujifungua mwili wa mwanamke huwa na mabadiliko tofauti na siku za nyuma. Kwa mfano hatapatavtena hedhi, hatoweza kupata ujauzito kwa muda wa mwezi ama zaidi. Endelea na post hii ujifunze zaidi
SWALI
Habari ndugu mi nipo na swali nahitaji msaada je, unaweza kupata ujauzito bila kupata hedhi miezi 9 baada ya kujifungua mtoto?
Jibu :
Swali la muulizaji jibu lake linatosha kuwa ndio. Ni kweli kabisa unaweza pata ujauzito bila ya kuona hedhi baada ya kujifunguwa.
Baada ya kujifungua kwa baadhi ya wanawake hukaa wiki 6 ndipo wapate hedhi, wengine huchukua miezi 6 hadi kupata hedhi.
Wakati wa kunyonyesha mwili huzuia homoni zinazokomaza mayai zisizalishwe. Hii husaidia kutopata mimba. Kipindi hiki huathiriwa pia na aina ya unyonyeshaji.
Sasa kuna baadhi ya wanawake hao huanza kukomaa kisha hedhi Inafuatia na wengine itaanza hedhi kisha yai litafuatia katika mzunguko ujao.
Hivyo basi kama mwanamke yupo kwenyebkundibhili la ambao yai linatangulia kisha hedhi anaweza apate ujauzito na asijuwe na hedhi asipate, kwa sababubakishapata mimba hatoweza tena kupata hedhi.
Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa
Author Tarehe 2021-09-19 Share On Facebook or WhatsApp Imesomwa mara 3830
Maumivu ya tumbo kabla ya kupata hedhi
Je unasumbuliwa na maumivu ya tumbo. Unadhani ni dalili za mimba na ukapima hakuna mimba. Soma Zaidi...
Je, wajua sababu zinazopelekea maumivu ya Matiti kwa wanawake?
Maumivu ya matiti ni malalamiko ya kawaida miongoni mwa wanawake yanaweza kujumuisha uchungu wa matiti, maumivu makali ya kuungua au kubana kwenye tishu zako za matiti. Maumivu yanaweza kuwa ya mara kwa mara au yanaweza kutokea mara kwa mara tu. Maumivu ya matiti yanaweza kuanzia kidogo hadi makali. Inaweza kukuathiri siku chache tu kwa mwezi, kwa mfano kabla tu ya kipindi chako, au inaweza kudumu kwa siku saba au zaidi kila mwezi. Soma Zaidi...
Aina mbalimbali za mimba kutoka.
Post hii inahusu zaidi aina mbalimbali za mimba kutoka, hizi ni jinsi mimba inavyoonyesha dalili za kutoka na nyingine zinaweza kuonyesha dalili Ila kwa sababu ya huduma mbalimbali za kwanza hizo mimba zinaweza kudhibiiwa na mtoto akazaliwa. Soma Zaidi...
Madhara ya fangasi ukeni
Maambukizi ya fangasi katika sehemu za Siri za mwanamke husababishwa na fangasi wanaoitwa CANDIDA ALBICANS pia maambukizi haya hujulikana kama YEAST INFECTION. Pia hupatikana katika midomo, mpira wa kupitisha chakula,kibofu Cha mkojo ,uume na uke. Soma Zaidi...
Hiv n kweli majivu hutoa mimb ya siku moja hadi wiki moja
Inashangaza sana, wakati wengine wanahangaika kutafutavijauzito kwa gharama yoyote ile, kuna wengine wanataka kutoa ujauzito kwa gharama yeyote ile. Unadhani njia za kienyeji sa kutoa mimba ni salama? Soma Zaidi...
Kutokwa maji yan seminal swhemu za siri kwa mwanamke nidalili ya ugojwa gan?
Kutokwa Majimaji sehemu za siri kwa mwanamke sio jambo la kushangaza na kuhisivunaumwa. Majimajivhaya ndio huboresha afya ya uzazi kwa kusafisha na kulinda via vya uzazi. Lakini majimajivhaya yakiwa mengi, ama yanawasha ama yanaharufu haa ndipo kwenye tatizo. Soma Zaidi...
Je inaweza ukaingia period wakati unaujauzito?
Ukiwa mjamzito unaweza kushuhudia kutokwa na damu. Je damu hii ni ya hedhi? Soma Zaidi...
Siku za kupata ujauzito
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu siku za kupata ujauzito Soma Zaidi...
Nahitaji kufaham siku ya kumpatia mimba make wangu, yeye hedhi yake ilianza talehe22
Je na wewe ni moja kati ya wake ambao wanahitajivkujuwa siku za kupata mimba. Ama siku za competes mwanamke mimba. Post hii ni kwa ajili yako. Soma Zaidi...
Mwanamke anatema mate mara kwa mara je inaweza kuwa ni ujauzito?
Ni kweli kuwa kutema mate mara kwa mara inaweza kuwa ni dlili za ujauzito. Lakini itambulije kuwa pekee sio kithibitishi cha ujauzito. Soma Zaidi...
Njia za kugundua kama mtoto amevunjika baada ya kuzaliwa
Post hii inahusu zaidi njia mbalimbali ambazo mtoa huduma anaweza kuzitumia kuangalia kama mtoto amevunjika baada ya kuzaliwa. Soma Zaidi...
Madhara ya mtoto kuzaliwa akiwa na uzito mkubwa
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kama mtoto alizaliwa na uzito mkubwa. Soma Zaidi...