je ute wa uzazi uanza kuonekana siku ya 14 tu au kabla ? Na je mimba ya siku tatu inaweza kucheza?

Miongoni mwa dalili zamwanzo za ujauzito ni maumivu ya tumbo ama kupatwa na damu kidogo. Mabadiliko ya ute ute sehemu za siri ni katika baadhi ya dalili. Endelea na makala hii utajifunza zaidi.

Swali: -

je ute wa uzazi uanza kuonekana siku ya 14  tu au kabla ? Na je mimba ya siku tatu inaweza kucheza? 

 

'JIBU

yes mabadiliko ya uteute unaweza kuyaona mapema hata kwenye wiki ya pili yaani siku 14. Hii si kwa wote kuna wengine huchelewa zaidi. 

 

Uteute unapobadikika unakuwa mzito kuliko hapo mwanzo na hii husaidia katika ku: -

' 1. Kuzuia bakteria virudi na fangasi na vijidudu vingine kuingia ndani

' 2. Kusafisha tumbo la uzazi

 

' Ama kuhusu swali la pili kuwa je mimba ya miezi mitatu mtoto anacheza ama hachezi? 

 

' Jibu hawezi kucheza.  Angalau miezi mitatu toka mimba kuingia ndipo mtoto ataanzakucheza. 

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-10-18     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2706

Post zifazofanana:-

Kisa Cha mfugaji na mkewe
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

Zoezi la 6 kusimamisha swala
Zoezi hili linamaswali mbalimbali kuhusiana na swala na masharti ya swala. Soma Zaidi...

Fahamu Ugonjwa wa Saratani ya uke
Saratani ya uke'ni Saratani'adimu'inayotokea kwenye uke wako mrija wa misuli unaounganisha uterasi na sehemu zako za siri. Saratani ya uke'mara nyingi hutokea katika seli zilizo kwenye uso wa uke wako, ambao wakati mwingine huitwa njia ya uzazi. Wan Soma Zaidi...

Huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu
Posti inahusu huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu.huduma ya kwanza Ni kumsaidia mtu alie pata jeraha au ajali kabla hajamwona dactari au kufika hospitalinia. Soma Zaidi...

UTI na ujauzito
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu ugonjwa wa UTI kwa wajawazito Soma Zaidi...

Madhara ya ugonjwa wa madonda ya koo usipotibiwa
Posti hii inahusu zaidi madhara ya ugonjwa wa madonda ya koo usipotibiwa, ugonjwa huu usipotibiwa unaweza sababisha madhara mbalimbali kama ifuayavyo. Soma Zaidi...

Dua za wakati wa shida na taabu
Hizi ni Dua ambazo unatakiwa uziombe wakati wa shida na taabu Soma Zaidi...

Dalilili za mimba Kuharibika
Kuharibika kwa mimba ni upotevu wa hiari wa ujauzito kabla ya wiki ya 20. Takriban asilimia 10 hadi 20 ya mimba zinazojulikana huisha kwa kuharibika kwa mimba. Lakini idadi halisi labda ni kubwa zaidi kwa sababu mimba nyingi hutokea mapema sana katika u Soma Zaidi...

Ugonjwa wa Maambukizi ya mfumo wa mkojo kwa watoto chini ya miaka mitano (UTI)
posti hii inazungumzia kuhusiana na Maambukizi kwenye mfumo wa mkojo ambapo kitaalamu hujulikana Kama UTI(Urinary Tract Infection (UTI)) hufafanuliwa kuwa ni maambukizo ya mfumo wa uzazi ambayo yanahusisha urethra.'UTI ni maambukizi ya mfumo wa mkojo, m Soma Zaidi...

Dalili za Saratani ya utumbo mdogo.
Posti hii inaonyesha ishara na dalili za Saratani ya utumbo mdogo Soma Zaidi...

TUNAKUTAKIENI RANADHANI MUBARAKA
Wikibongo inawatakia waislamu wote heri ya mfungo wa ramadhaji Soma Zaidi...

Mawaidha Kutokwa kwa Shekhe
Karibu kwenye Darsa za mawaidha na Mafundisho ya dini. Soma Zaidi...