JE VVU INAWEZA SABABISHA MATE KUJAA MDOMONI


image


Je kujaa kwa mate mdomoni ni dalili ya kuwa na VVU, na je ni zipi dalili za Virusi Vya Ukimwi (VVU) mdomoni?


Swali: Je  Virusi Vya Ukimwi (VVU) vinaweza kusababisha mate kujaa mdomoni?

 

Jibu:

Hili ni swali lililopata kuulizwa kuhusu mada ya virusi Vya Ukimwi. Watu wengi wenye tatizo hili la kujaa kwa mate mdomoni hudhani lamda ni dalili za VVU. Katika post hii nitakujibu swali hili.

 

Ufupi ni kuwa kujaa kwa mate mdomoni hakuhusiani na virusi vya ukimwi. yaani VVU havisababishi mate kujaa mdomoni. Kama utakuwa na tatizo hili utahitajika kuonana na daktari upate ufafanuzi zaidi na vipimo itakapo hitajika.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    3 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    6 Hadiythi za alif lela u lela    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Dalili za maambukizi kwenye figo
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Maambukizi kwenye figo (pyelonephritis) ni aina mahususi ya maambukizi ya njia ya mkojo (UTI) ambayo kwa kawaida huanza kwenye urethra au kibofu chako na kusafiri hadi kwenye figo zako. Soma Zaidi...

image Habari ndugu naomba kuuliza eti mtu akipaliwa na asali anakufa?
Post hii inakwenda kukujulisha hatari za kupaliwa na asali ama kitu kingine kama muulizaji alivyouliza. Soma Zaidi...

image Je kukosa hedhi kwa mwanmke anayenyonyesha ni dalili ya mimba
Kipimo cha mimba cha mkojo hakiwezi kyonyesha mimva changa sana. Hivyo kama ni mimba baada ya wikibpima tena itaweza kuonekana. Dalili hizobulizotaja pekee haziashirii mimba tu huwenda ni homoni zimebadilika kidogo, ama una uti. Soma Zaidi...

image Visababishi vya maambukizi kwenye milija na ovari
Posti hii inahusu zaidi visababishi vya maambukizi kwenye milija na, ni mambo yanayosababisha maambukizi kwenye milija na ovari. Soma Zaidi...

image Ishara na dalili za saratani ya mdomo.
Posti hii inaonyesha dalili na mabo ya hatari kwenye ugonjwa wa saratani ya mdomon.Saratani ya mdomo inarejelea Kansa inayotokea katika sehemu zozote zinazounda mdomo. Saratani ya mdomo inaweza kutokea kwa: Midomo, Fizi, Lugha, Ndani ya bitana ya mashavu, Paa la mdomo, Ghorofa ya mdomo Soma Zaidi...

image Dalili za macho kuwa makavu
posti hii inaelezea kuhusiana na dalilili na Mambo ya hatari ya Macho makavu  hutokea wakati machozi yako hayawezi kutoa unyevu wa kutosha kwa macho yako. Machozi yanaweza kuwa duni kwa sababu nyingi. Kwa mfano, Macho makavu  yanaweza kutokea ikiwa hautoi machozi ya kutosha au ukitoa machozi yasiyo na ubora. Soma Zaidi...

image Mimi imepita miezi mitatu sioni hedhi na wala sioni dalili ya kuwa na mimba unaweza ukaniambia tatizo la kuwa na hali hii
Kama na wewe una tatizo la kupitiliza siku zako za hedhi hli ya kuwa huna ujauzito, soma post hii ina majibu yako. Soma Zaidi...

image Tatizo la ngozi kuwasha (ugonjwa wa kuwashwa kwa ngozi
Dermatitis ni hali inayofanya ngozi yako kuwa nyekundu na kuwasha. Ni kawaida kwa watoto, lakini inaweza kutokea katika umri wowote. Hakuna tiba iliyopatikana ya ugonjwa wa Dermatitis Soma Zaidi...

image Namna ya kujikinga na ugonjwa wa madonda ya koo
Post hii inahusu zaidi namna ya kuzuia ugonjwa wa madonda ya koo,ni njia ambazo usaidia katika kujikinga na ugonjwa wa madonda ya koo. Soma Zaidi...

image Maambukizi kwenye uume
Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye uume, maambukizi hata utokea kwenye kichwa Cha uume kwa kitaalamu huitwa Balanitis, zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa ugonjwa huu. Soma Zaidi...