KITUNGUU SAUMU


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kitunguu saumu


kitunguu saumu. 

Watu wamekuwa wakitumia kiungo hiki kwa kupikia toka enzi za mababu. Halikadhalika kiungo hiki kimekuwa kikitumika kama dawa kwa karne nyingu, maeneo mengi duniani. Utafiki unaonesha kuwa katika kitunguu saumu kuna ‘allicin’ hii husaidia katika kuimarisha mfumo wa kinga katika kupambana na maradhi mbalimbali. Tumia kiungo hiki kwa kupikia. Pia unaweza kutafuna punje zake. Watu wenye maradhi mablimbali wamekuwa wakitumia kiungo hiki na kuona mafanikio.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    2 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    4 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    5 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    6 Hadiythi za alif lela u lela    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Papai (papaya)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula papai Soma Zaidi...

image Faida za nazi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nazi Soma Zaidi...

image Faida za kula viazi mbatata
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata Soma Zaidi...

image Faida za kula chungwa na chenza (tangarine)
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa na chenza (tangarine) Soma Zaidi...

image Boga (pumpkin)
Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula maboga Soma Zaidi...

image Faida za kula nanasi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nanasi Soma Zaidi...

image Matunda yenye vitamini C kwa wingi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu matunda yenye vitamin C kwa wingi Soma Zaidi...

image Faida za kiafya za peaz/ peas
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula peazi Soma Zaidi...

image Faida za biringanya/ eggplant
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za biringanya/ eggplant Soma Zaidi...

image Faida za kula stafeli/soursop
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za stafel/soursop Soma Zaidi...