KUSHIRIKI NGONO NA MTU ALIYE NA VVU NA UKIMWI


image


Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kushiriki ngono na mtu aliye na VVU na UKIMWI


Kushiriki ngono na mtu aliye na VVU na UKIMWI

Yes inawezekana, na hili ni swali watu wengi wamekuwa wakijiuliza. Itambulike kuwa kushiriki tendo la ndoa na aliyeathirika si lazima kuwa nawe utaathirika, ila kauli hii isieleweke vibaya. Kwani njia ambayo inaongoza leo katika kueneza maambukizi ya HIV ni kushiriki tendo la ndio. Mtu anaweza kushiriki tendo la ndoa na aliyeathirika bila ya kuathirika endapo:-

 

A.Endapo hakutatokea michubuko wakati wa tendo

B.Endapo muathirika ametumia dawa za ART kwa muda mrefu kwa kufuata masharti hata viral load yake ikawa haionekani (undetected) na akadumu kwa hali hii walau miezi 6

C.Endapo walitumia kinga wakati wa kushiriki tendo.



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Jifunze fiqh       ðŸ‘‰    2 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    3 Madrasa kiganjani       ðŸ‘‰    4 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    5 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    6 Mafunzo ya html kwa kiswahili    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Haya hayawezi kuambukiza UKIMWI
Somo hili linakwenda kukuletea mambo ambayo hayawezi kuambukiza UKIMWI Soma Zaidi...

image Dalili za UKIMWI
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za UKIMWI Soma Zaidi...

image Je utambuzi wa maambukizi ya ukimwi hupatikana mda gani pale mtu anapoambukizwa
Kuna ukimwi na HIV na kila kimoja kina dalili zake na muda wa kuonyesha hizo dalili. Soma Zaidi...

image Dawa ya kuzuia kuathirika kwa watu walio hatarini kupata VVU
Somo hili linakwenda kukuletea dawa ya kuzuia kuathirika kwa watu walio hatarini kupata VVU Soma Zaidi...

image Namna ya kujikinga na VVU/UKIMWI
Somo hili linakwenda kukueleza namna mbalimbali za kujikinga na VVU/UKIMWI Soma Zaidi...

image Haya hayawezi kuambukiza UKIMWI
Somo hili linakwenda kukuletea Mambo ambayo hayawezi kuambukiza UKIMWI Soma Zaidi...

image Elimu kuhusu HIV na UKIMWI
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu elimu ya kuhusu HIV na UKIMWI Soma Zaidi...

image Matibabu ya VVU na UKIMWI
Somo Hili linakwenda kukuletea matibabu ya VVU/UKIMWI Soma Zaidi...

image Dalili za VVU
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za VVU Soma Zaidi...

image Je kwa mfano mimi nmeupata ukimwi leo na sihitaji kwenda kupima yaaan uanza kujionyesha baada ya muda gani
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuwa ukimwi huonekana baada ya muda gani toka kuathirika? Soma Zaidi...