Kutokwa na damu baada ya tendo la ndoa

Kutokwa na damu baada ya tendo la ndoabkunaweza kuashiria kuwa kuna majeraha yametokea huwenda ni michubuko ilitokea ndio ikavujisha damu. Lakini kwa nini hali kama hii itokee. Posti hii itakwwnda mujibu swali hili.

Swali

Nilipokutana kimapenzi alipopizi niliona damu kidogo nilipochichumaa niliona damu zimechanganyikana kidogo ilikua bado siku tatu kuingia hedhi yangu ilivopita siku 11nimepima Nina ujauzito je inawezekana nilipata mapema kabla na kwann damu kidogo baada ya tendo?

 

Jibu: 

Katika swali la kwanza ni kweli kuwa mimba iliingia kabla ya hapo.  Siku tatu kabla ya kuingia hedhi huwezi kupata ujauzito. 

 

Ama kuhusu hiyo damu kuna nadharia hapa tunaweza kuziweka katika kujaribu; kujibu swali hilo: 

1. Huwenda tendo lilifanyika kwa pupa hata kukatokea michubuko nabikavujisha damu

3. Huwenda kulikosekana uteute wa kutosheleza hivyo msuguano ukasababishabmivhubuko ambayo inasababisha kuvuja damu

3. Wakati wa hedhi kukaribia nyama za tumbo la uzazi huwa laini kujiandaa kuondoa tishu hivyo huwenda vurugu zabtendo zikasababisha kutoka damu kutokea kwenye tishu hizo. 

4. Huwenda damu hiyo ni viashiria vya kukaribia hedhi. 

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-09-19     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 4371

Post zifazofanana:-

Kutokana nyani mpaka kuwa chongo
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

Hadithi ya Khalid mwenye kuneemeshwa na Jalid
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

Muendelezo wa hadithi ya mshona nguo
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

Jinsi ya kufanya simu yako iwe fasta
Posti hii inakwenda kukuelekeza njia za kufanya simu yako iwe fasta Soma Zaidi...

Hadithi ya mji uliogeuzwa mawe
Posti hii inakwenda kukuletea hadithi za alifu lela ulela Soma Zaidi...

Dalili na Ishara za mawe kwenye figo
Mawe kwenye figo yana sababu nyingi na yanaweza kuathiri sehemu yoyote ya njia yako ya mkojo kutoka kwa figo hadi kibofu chako. Soma Zaidi...

Madhara ya kutumia tissue au toilet paper
Post hii inahusu zaidi madhara ambayo tunaweza kuyapata katika matumizi ya toilet paper au tisu kwenye sehemu za siri. Soma Zaidi...

MAMBO SABA YA KUZINGATIA ILI KULINDA TOVUTI YAKO DHIDI YA WADAKUZI
Kutengeneza tovuti ni jambo moja na kuilinda ni jambo la pili. Kutokana na kukua kwa sayansi na teknolojia, kumepelekea kukua na kushamiri kwa uhalifu kwa njia ya mtandao. Soma Zaidi...

Njia za maambukizi ya Homa ya inni
Posti hii inahusu zaidi njia za maambukizi ya Homa ya inni, Homa ya inni usababishwa na virusi viitwavyo Hepatitis B, huwapata watu wote hasa wale wenye umri chini ya miaka mitano. Soma Zaidi...

Mtume Muhammad s.a. w amelewa na Baba yake mdogo
Historia na sura ya Mtume Muhammad, sehemu ya 10. Soma Zaidi...

Mafunzo ya DATABASE - MySQL somo la 7
Mafunzo ya database kwa utumia software ya MySQL kwa lugha ya kiswahili na hili ni somo la 7. Soma Zaidi...

Njia za kuongeza nguvu za kiume
Somo hili linakwenda kukueleza njia za kuongeza nguvu za kiume Soma Zaidi...