Mabadiliko ya via vya uzazi kwa Mama mjamzito.

Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye via vya uzazi kwa wajawazito, tunajua kuwa Mama akibeba mimba tu kuna mabadiliko utokea katika sehemu mbalimbali za mwili.

Mabadiliko ya via vya uzazi kwa wajawazito.

1.Kwanza kabisa Mama akibeba mimba kuna mabadiliko kwenye via vya uzazi kuanzia kwenye uke, mlango wa kizazi, mfumo wa uzazi na kiwango cha kawaida cha damu ubadilika kadri ya ufanyaji wa kazi.

 

2.Mama anapobeba mimba , kwenye mlango wa kizazi ufunga ili kuzuia maambukizi au kitu chochote kupitia kwenye uke kuja kuingilia kiumbe kilicho kwenye tumbo la uzazi.

 

3.Tumbo la uzazi ubadilisha na kuongezeka ukubwa hali hiyo utokea kwa sababu ya kuongezeka kwa kimo cha mtoto kadri anavyokua kwa hiyo kadri ya wiki zinaongezeka na tumbo uongezeka hiyo hivyo.

 

4.Kiwango cha kusafiri kwa damu nacho uongezeka kwa sababu damu inatumika sana kwa Mama na kwa mtoto vile vile na damu utumika sana kwa hiyo mama akiwa mjamzito utumia dawa za kuongeza damu kila mwezi .

 

5. Na  kwenye uke wa Mama uongezeka size na pia huwa kuna maji maji ya kwenye uke nayo uongezeka na pia Mama akikaribia kujifungua na sehemu mbalimbali ambazo mtoto utaka kupitia uanza kulegea ili mtoto aweze kupita. 

 

6.Kwa hiyo akina Mama wakiona dalili kama hizi au mamadiliko kama haya wanapaswa kuona ni kawaida ni kwa sababu ya mimba ndizo uleta mabadiliko mbalimbali na wakijifungua maisha huwa kama kawaida.

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/02/17/Thursday - 02:39:35 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1394

Post zifazofanana:-

Mafunzo ya DATABASE MYSQL na SQL somo la 1
Karibu tena katika mafunzo yetu, na huu ni mwanzo wa mafunzoya DATABASE kwa kutumia MYSQL kwa lugha ya kiswahili. Na hili ni somo la kwanza, katka somo hili utajifunza jinsi ya kuandaa kifaa chako kwa ajili ya mafunzo. Soma Zaidi...

Huduma kwa wenye Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia Watu wale ambao wana Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo. Soma Zaidi...

Ugonjwa wa kisonono, sababu zake nanjia za kujilinda.
Kisonono husababishwa na bakteria. Bakteria ya kisonono mara nyingi hupitishwa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine wakati wa kujamiiana, ikiwa ni pamoja na kujamiiana kwa mdomo, mkundu au uke. Soma Zaidi...

Hadithi ya Kaka wa nne wa kinyozi
Posti hii inakwenda kukupa muendelezo kuhusu kifo cha mtoa burudani wa sultani Soma Zaidi...

Zijuwe athari za vidonda mwilini
Posti hii inahusu zaidi athari za kutotibu vidonda, hizi ni athari mbalimbali ambazo zinaweza kutokea ingawa kama vidonge haujatibiwa au vimetibiwa kwa kuchelewa. Soma Zaidi...

Umuhimu wa jihad katika kusimamisha uislamu katika jamii
Dini anayostahiki kufuata mwanadamu (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...

Mabadiliko ya ngozi wakati wa ujauzito.
Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye ngozi wakati wa ujauzito, ni mabadiliko yanayotokea kwenye ngozi ya Mama wakati wa ujauzito. Soma Zaidi...

Madhara ya kushindwa kupitisha mkojo.
Posti hii inahusu zaidi madhara ya kushindwa kupitisha mkojo, ni madhara makubwa yanayotokea kwa mtu iwapo akishindwa kupitisha mkojo. Soma Zaidi...

Dalili za kipindupindu na njia za kujilinda na kipindupindu.
Post hii inazungumzia zaidi kuhusiana na ugonjwa wa kipindupindu.kipindupindu ni ugonjwa unaosababishwa na mdudu ambaye kwa kitaalamu anaitwa vibrio cholera.mdudu huyu hushambulia utumbo mdogo na kusababisha madhara mengi. Soma Zaidi...

Sifa za siku za kupata mimba
Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya sifa za siku za kupata mimba Soma Zaidi...

Minyoo Ni nini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana ya minyoo Soma Zaidi...

Muda wa kuchaji simu yako
Posti hii itakwenda kukujuza juu ya kuda mzuri wa kuchaji simu yako Soma Zaidi...