MADHARA YA UGONJWA WA MADONDA YA KOO USIPOTIBIWA


image


Posti hii inahusu zaidi madhara ya ugonjwa wa madonda ya koo usipotibiwa, ugonjwa huu usipotibiwa unaweza sababisha madhara mbalimbali kama ifuayavyo.


Madhara ya madonda ya koo kama yasipotibiwa

1. Maambukizi kwenye figo, hii ni kwa sababu ya kuwepo kwa bakteria ndani ya figo ambao utoka kwenye Koo na kusambaza

2. Maambukizi kwenye mishipa ya damu, kwa sababu ya kuwepo kwa bakteria ndani ya damu wanaotoka kwenye Koo usababisha maambukizi kwenye mishipa ya damu

 

3.Matatizo wakati wa kupumua, utokea pale mtu anapotaka kupumua hewa utoka kwa shida kwa sababu ya maambukizi kwenye mfumo wa hewa

 

4. Maambukizi kwenye milango mbalimbali ya fahamu, kwa mfano maambukizi kwenye sikio,

Kwa hiyo tunakuja kuwa Kuna shida mbalimbali madonda yasipotibiwa kwa hiyo tunapaswa kuyatibu mapema na iwezekanavyo.

 



Sponsored Posts


  ðŸ‘‰    1 Maktaba ya vitabu       ðŸ‘‰    2 Hadiythi za alif lela u lela       ðŸ‘‰    3 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ðŸ‘‰    4 Mafunzo ya php       ðŸ‘‰    5 Magonjwa na afya       ðŸ‘‰    6 Madrasa kiganjani    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Faida za uzazi wa mpango kwa watu wenye ugonjwa wa Ukimwi
Posti hii inahusu zaidi faida za uzazi wa mpango kwa watu waliopata maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi, ni faida wanazozipata waathirika wa ugonjwa wa Ukimwi. Soma Zaidi...

image Dalilili zinazotokea kwenye mrija wa mkojo
Mrija wa mkojo hutoa mkojo nje ya mwili lakini mrija huu unapoziba hufanya utoaji wa mkojo kutoka kwa shida au maumivu Soma Zaidi...

image Namna ya kuwasaidia wagonjwa wa vidonda vya tumbo
Post hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia wagonjwa wa vidonda vya tumbo, ni njia ya kuwasaidia wagonjwa waliopata madonda ya tumbo Soma Zaidi...

image Dalili za Utasa wa wanaume
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Utasa wa Mwanaume hutokana na uzalishaji mdogo wa mbegu za kiume, utendakazi usio wa kawaida wa manii au kuziba kwa manii ambayo huzuia utoaji wa mbegu za kiume. Magonjwa, majeraha, matatizo ya kiafya sugu, uchaguzi wa mtindo wa maisha na mambo mengine yanaweza kuchangia kusababisha Ugumba wa kiume. Soma Zaidi...

image Dalili za upungufu wa maji mwilini.
Upungufu wa maji mwilini hutokea unapotumia au kupoteza Majimaji mengi zaidi ya unayonywa, na mwili wako hauna maji ya kutosha na Majimaji mengine ya kufanya kazi zake za kawaida. Usipochukua nafasi ya Vimiminika vilivyopotea, utapungukiwa na maji. Soma Zaidi...

image Namna magonjwa ya koo yanavyosambaa
Posti hii inahusu zaidi namna ya magonjwa ya koo yanavyosambaa, magonjwa haya usambaa kutoka sehemu Moja kwenda nyingine kwa njia tofauti kama ifuayavyo Soma Zaidi...

image Namna ya kujikinga na ugonjwa wa madonda ya koo
Post hii inahusu zaidi namna ya kuzuia ugonjwa wa madonda ya koo,ni njia ambazo usaidia katika kujikinga na ugonjwa wa madonda ya koo. Soma Zaidi...

image Dalili za saratani ya kwenye Njia ya haja kubwa.
Saratani ya kwenye Njia ya haja kubwa ni aina isiyo ya kawaida ambayo kitaalamu hujulikana Kama saratani ya mkundu.Mfereji wa mkundu ni mirija fupi iliyo mwisho wa puru yako ambayo kinyesi hutoka mwilini mwako. Saratani ya kwenye Njia ya  haha kubwa inaweza kusababisha dalili nkama vile kutokwa na damu kwenye njia ya haja kubwa na maumivu. Soma Zaidi...

image Dalili za kisukari na njia za kuzuia kisukari
Posti hii inaelezea ugonjwa wa kisakari, dalili zake,na namna ya kujikinga usipate kisukari au Kama tayari unakisukari ukijikinga madhara yanapungua au kupona kabisa.Kisukari au bolisukari (jina la kitaalamu: diabetes mellitus) ni ugonjwa unaoonyesha viwango vikubwa vya glukosi katika damu. Sababu yake ni uhaba wa homoni ya insulini mwilini au upungufu wa uwezo wa mwili wa kukubali insulini. Soma Zaidi...

image Madhara ya utapia mlo (marasmus)
Utapiamlo Mkali sana (Marasmus) hufafanuliwa kama aina kali ya utapiamlo ambayo ina sifa ya kupoteza. Utapiamlo uliokithiri umeainishwa katika Utapiamlo Mkali sana (SAM) na Utapiamlo Uliokithiri wa Wastani (MAM), kulingana na kiwango cha kupoteza na kuwepo au kutokuwepo kwa uvimbe. Soma Zaidi...