MAELEKEZO MUHIMU KWA MAMA AU MLEZI WA MTOTO MGONJWA


image


Posti hii inahusu zaidi maelekezo muhimu kwa mama au mlezi wa mtoto mgonjwa. Ni maelekezo muhimu hasa wakati wa kutoa dawa kwa mtoto.


Maelekezo muhimu kwa Mama au mlezi wa mtoto mgonjwa.

1.Kwanza kabisa watoto wadogo wanapaswa kuwa karibu sana na walezi wao ili waweze kupata huduma muhimu na za msingi kwa hiyo mtoto akiwa mgonjwa na akaleta hospitalini Mama au mlezi wanapaswa kupewa maelekezo yafuatayo ili kuweza kuwafanya wampatie Mtoto dawa sahihi na kwa wakati wake.

 

2. Kwanza mama au mlezi wanapaswa kujua dozi na dawa ipi  mtoto anapaswa kupewa, na pia wanapaswa kuambiwa wazi sababu ya kupewa dawa hizo, kwa hiyo akina mama wakiwa wanaenda hospitalini ni muhimu kuuliza sababu ya kupewa dawa, mtoto anapaswa kupata dozi ipi na kwa mda gani kwa hiyo ni haki kuuliza na kupewa jibu.

 

3. Pia Mama anapaswa kuonyeshwa kwa vitendo namna ya kumpatia mtoto dawa na pia ikiwezekana anaweza nkujarubisha akiwa anaangaliwa na kama mtoto hajapewa dawa dozi ya kwanza inaweza kutolewa ili kumfanya Mama aweze kupata uzoefu wakati wa kutoa dawa.

 

4. Na kama dawa ni zaidi ya moja ni lazima kuziweka alama ili zisije kuchanganywa na pia mama anapaswa kujua kuwa lazima dawa zitolewe kwa mtoto mpaka ziishe hata kama mtoto amepona kwa hiyo ni lazima kumalizia dawa zote ili kuepuka hali ambayo siyo nzuri ikitokea dawa haijaisha.

 

5.Kwa hiyo ni vizuri kwa akina mama na walezi wa watoto kubwa makini pindi mnapokuwa hospitalini hakikisha kuwa dawa unazopewa unajua wazi matumizi yake na unaweza kujisimamia mwenyewe na kumpatia mtoto kwa mda mwafaka na akapona kwa hiyo kama hauwezi au haujui matumizi uliza kwa sababu unayo haki ya kupata matibabu kwa wakati na kwa mda wake



Sponsored Posts


  ๐Ÿ‘‰    1 Jifunze fiqh       ๐Ÿ‘‰    2 Madrasa kiganjani       ๐Ÿ‘‰    3 Hadiythi za alif lela u lela       ๐Ÿ‘‰    4 Mafunzo ya html kwa kiswahili       ๐Ÿ‘‰    5 Magonjwa na afya       ๐Ÿ‘‰    6 Maktaba ya vitabu    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Jifunze kuhusu msukumo wa damu kwa kitaalamu huitwa pressure
Kupanda kwa msukumo wa damu ni ktendo ambapo moyo husukuma damu kwa nguvu kuliko kawaida ambapo hupelekea matatizo mengi kwenye mwili Soma Zaidi...

image Dalili za mimba ya siku 4
Unaweza kutaka kujuwa je naweza kupata dalili za mimba baada ya siku nne toka ujauzito kutungwa? ama baada ya siku nne toka kushiriki tendo la ndoa. Makala hii itakwenda kujibu maswali haya na mengineyo. Soma Zaidi...

image Dalili za maumivu ya jino
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za maumivu ya jino Soma Zaidi...

image Namna ya kuishi na vidonda vya tumbo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kuishi na vidonda vya tumbo Soma Zaidi...

image Ajali ya jicho
Post hii inahusu zaidi ajali ya jicho na visababishi vyake, ajali ya jicho ni pale jicho linavyoingiliwa na uchafu na vitu vingine ambavyo havistahili kuwa kwenye jicho Soma Zaidi...

image Njia za uzazi wa mpango
Posti hii inahusu zaidi kuhusu njia za uzazi wa mpango, uzazi wa mpango ni njia za kupanga uzazi Ili kupata idadi ya watoto unaohitaji Soma Zaidi...

image Fahamu matatizo yanayowapata watoto waliozaliwa kabla ya wakati au mapema (premature)
Kuzaa kabla ya wakati ni kuzaliwa ambayo hufanyika zaidi ya wiki tatu kabla ya kuzaliwa kwa mtoto au kuzaliwa mapema ni moja ambayo hutokea kabla ya mwanzo wa wiki ya 37 ya ujauzito. Kawaida, ujauzito hudumu kama wiki 40. Soma Zaidi...

image Madhara ya kutumia madawa ya kupunguza maumivu
Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutumia madawa ya kupunguza maumivu,ni madhara ambayo utokea kwa mtu anayetumia madawa ya kupunguza maumivu. Soma Zaidi...

image Zijue hasara za magonjwa ya ngono
Posti hii inahusu zaidi hasara za magonjwa ya ngono, ni magonjwa yanayoambukizwa kwa kujamiiana bila kutumia kinga. Soma Zaidi...

image Dalili za Ugonjwa wa Ebola.
Virusi vya Ebola ni virusi vinavyohusiana vinavyosababisha Homa zaร‚ย hemorrhagic magonjwa yanayoambatana na kutokwa na damu nyingi (kuvuja damu), viungo kushindwa kufanya kazi na, mara nyingi, kifo. Virusi vya Ebola na virusi huishi kwa wanyama, na wanadamu wanaweza kuambukizwa virusi kutoka kwa wanyama walioambukizwa. Baada ya maambukizi ya awali, virusi vinaweza kuenea kutoka kwa mtu hadi mtu kwa kugusana na Majimaji ya mwili au sindano zilizochafuliwa. Soma Zaidi...