image

Mafidodo (mafindofindo) au tonsils kweye koo je inaweza ikawa Ni moja kati ya dalil za ukimwi

Tezi za lymph huanza kuonyesha dalili za kuwa mwili upo katika mapambano dhidi ya vijidudu vya maradhi. Ishara ni pale utakapoona tezi za lymph zina maumivu. Tezi hizi hupatikana kwenye mapaja, kwapa nashingo.

Swali: 

Mafidodo (mafindofindo)  au tonsils kweye koo je inaweza ikawa Ni moja kati ya dalil za ukimw. 

 

Jibu: 

Mafindofindo na tonsil watu wwngi wanashindwa kmutofautisha na dalili za mwanzo za HIV. Kabla yavkuanza kujibu swali kwanza nifahamishe kuwa kuona dalili za HIV haimaanishi eti ndio umeathirika. Hizo ni dalili tu zinaweza kuwani za ugonjwa mwingine. 

 

Miongoni mwa dalili za mwanzo za HIV ni pamoja na kuvimba na kuuma kwa tezi za lymph.  Tezi hizi zipo kwenye sehemu ya juu ya mapaja karibia na sehemu za siri. Tezi hii gufahamika sana kwa jina la mtoki. 

 

👉Tezi nyingine ibaoataikanavkwenye makwapa. Na nyingine nivmaeneo ya shingoni. Tezi hizi zinapouma huashiria kuwamwili upo kwenye mapambano. 

 

👉Sasa dalili za HIV hutokea ndani ya wiki 2 mapaka 6 baada ya kuoata maambukizi. Hivyo kama utaona dalili hii nje ya siku hizi haiwezi kuwa ni vvu. 

 

👉Pia kwa tezi ya shingoni hatuzungumzii koo la chakula.  Koo la chakuka kenyewe linaweza kuvimva,  kuwasha ama kuuma kama kuna mashambukizi ya bajteria,  fangasi ama virusi. 

 

👉Mwishi niseme kuwa dalili yeyite ya HIV haimaanishi kuwa mtu aneoata maambukizi.  Bila vioimo huwezi kujuwa kuwa una maambukizi. 

           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2963


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Vyakula vya vitamini C na faida zake
Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kunywa maziwa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kunywa maziwa Soma Zaidi...

Vyakula salama na vyakula hatari kwa vidonda vya tumbo
Kamala hii inakwenda kufundisha vyakuna na vinjwaji salama anavyopaswa kutumia mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Pia utajifunza vyakula na vinywaji hatari kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula magimbi
Soma Zaidi...

Faida za kula tikiti
Ukubwa wa tikiti unasadifu yaliyopo, kwani kuna fgaida akubwa sana za kiafya katika kula tikiti Soma Zaidi...

KITABU HA MATUNDA
Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho Soma Zaidi...

Faida za kula tango
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tango Soma Zaidi...

VYAKULA VYA VITAMINI
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

Asili ya vyakula vya madini ya zinki
Post hii inahusu zaidi asili ya madini ya zinki, hii inaonesha sehemu gani tunaaweza kupata madini ya zinki. Soma Zaidi...

VYANZO VYA VYAKULA VYA MADINI NA FAIDA ZAKE
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote Soma Zaidi...

Zijuwe faida za kula njegere
zijuwe faida za kula njegere kiafya na umuhimu wa kula jegere pia jifunze njegere zina kazi gani mwilini? Soma Zaidi...

Faida za kula viazi mbatata
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata Soma Zaidi...