Mafunzo ya HTML Level 2 somo la 3 (HTML FULL COURSE FOR BEGINNERS LESSON 3)

Hili n somo la tatu katka muendelezo wa mafunzo ya HTML LEVEL 2 kwa lugha ya kiswahili. Mafunzo haya yanakujia kwa Ihsani ya bongoclass

TAG NA MGAWANYIKO WAKE:

Tga zinawezakugawanywa katika makundi mengi. Kulingana na wavuti ya w3school tag zimegawanyika katika makundi haya:-

1.Basic tag hizi ndio tag msngi znazotumika katika andishi kama vile <html>, <head>, <title> <body>< h1> - <h6> <p> <br>

2.Formating hutumika kwa ajili ya kuweka mipangilio ya maandishi kwenye maandishi

3.Form and input hisi hutumika katika kutengeneza fomu za kuwejaza na kutuma taarifa

4.Frames hizi hutumika katika kutengeneza frame kwa ajili ya kuweka maudhui yaliyo nje ya faili husika

5.Images: hizi ni tag zinazotumika katika picha

6.audio au video tag hizi hutumika katika kuweka video au audio

7.Links hizi ni tag ambazo zinahusika katika kuweka viungo (links)

8.Lists tag hizi huhusika katika kuweka orodha

9.Tables hizi ni tag ambazo huhusika katika kuchora majedwali

10.Style tag hizi hutumika kuweka mbwembwe au stailikwenye maudhui

11.Meta info hutumika kuweka metadata

12.Programming hizi hutumika katika kufanya programming ndani ya html kwa kutumia lugha nyingine kama javascript.

 

 

Hapo chini nitakuletea orodha ya tag zaidi ya 70.usikose somo la nne ambapo tutakwenda kujifunza namna ambavyo tag hizi zinafanya kazi. Katika somo la nne tutakwenda kupiga code kwa vitendo tuone tag hizo zinabadili vipi muonekano wa faili ;ako.

 

 



ORODHA YA TAG ZA HTML:

1.<dt> kuataja jina la vitu ama kitu kwenye orodha ya ufafanuzi

2.<em> kuweka msisitizo kwenye neno ama maneno

3.<html> kuanzisha faili la html katika kuandika code

4.<i> kuweka italics kwenye herufi

5.<iframe> kuweka maudhui ya kutoka nje ya faili husika

6.<img> kuweka picha

7.<ins> kuingiza maneno mengine baada ya kufuta

8.<kbd> kuonyehs keyboard

9.<label> kuandika lebo

10.<li>, <ul> na <ol> katika kuweka orodha ya vitu

11.<link> kuweka maudhui mengine ya yanayohusiana na faili mabayo yapo nje ya faili husika.

12.<main> huweka maudhui makuu ya document

13.<base> kuweka link msingi ya tovuti

14.<bdi> kumadili muelekeo wa maneno katika kikundi cha maneno

15.<bdo> kumadili uelekeo wa herufi

16.<blockquotes> hutumika katikakunukuu kifungu kikubwa cha maneno

17.<body> hutumika kuweka body kwene faili lako.kutamblisha kuwa maudhui ynaanzia hapo

18.<br> kwaajili ya kukata msitari maneno na kuanza kuandika msitari mwingine

19.<button> hutumika kuweka batani

20.<embed> kuweka maudhui kutoka nje ya website faili husika

21.<figure> na <figcaption> hutumika katiaka kuweka kielelezo kwenye picha

22.<footer> na <tfooter>kuweka footer sehemu ya chini ya mwisho ya ukurasa wa wavuti

23.<form> hutumika katika kuweka fomu

24.<h1> hadi <h6> hutumika kuweka heading

25.<head> kuweka sehemu ya <head> kwenye html

26.<header> kuweka sehemu ya juu ya ukurasa wa wavuti

27.<hr> kupoga msitari mlalo

28.<caption> hutumika kuweka caption kwenye picha

29.<cite> kuweka kicha cta hapari kwenye kazi unapoweka reference

30.<code> kuandika code text

31.<dd> kwa ajili ya kuweka ufafanuzi kwenye orodha ya maneno

32.<del> kwa ajili ya kufuta maneno ama herufi

33.<details> huelezea ufafanuzi wa ziada ambao msomaji anaweza kuufich ama kuuona.

34.<dfn> kwa ajili ya kuandika definition

35.<dialog> kuweka dialog box

36.<div> kuweka kifungu cha paragraph

37.<dl> kuweka orodha ya ufafanuzi

38.<map> kutaja ramani ya picha

39.<mark> kwa ajili ya kuhighlite maandishi

40.<meta> kuweka metadata

41.<nav> kuweka navigation bar. Upau wa menyu

42.<optiom> kuweka orodha ya wima ya machaguo

43.<p> kuweka paragraph

44.<picture> kuweka picha

45.<pre> kuonyesha maandishi katika mpangilio uleule wa kwenye code

46.<progress> kuonyesha maendeleo

47.<q> kwa ajili ya kunukuu

48.<s>kwa ajili ya kuonyesha maandishi kuwa sio sawa

49.<section> hutumika kuweka section za maudhui kwenye faili lako

50.<small> kuweka maandishi madogo

51.<source> kuweka chnzo cha video au audio

52.<span> kuweka section ndani ya paragraph

53.<strong> kuonyesha maneno muhimu kwenye maudhui

54.<style> kuweka staili mbalimbali za uandishi

55.<sub> kuweka herufi za kupanana kwa chini

56.<summary> kuweka muhtasari wamaudhui

57.<sup> kuweka herufi za kupandana kwa juu

58.<table> <th>, , <td>, <tr> <thead> na <tbody> kuchora table

59.<textarea> kuweka ukurasa wa kuandikia kwenye fomu

60.<title> kuweka kicha cha habari cha faili

61.<u> kupigia msitari maneno

62.<var> kuweka variable

63.<video> kuweka video

64.<wbr> kuchaguwa wapi maandishi yakate kama msitari umejaa.

65.<-- …--> hii hutumika kukoment

66.<!DOCTYPE> hutumika kutaja aina ya document

67.<a> kwa ajili ya kueka link

68.<abbr> kwa ajili ya kuweka abbreviation

69.<address> kwa ajili ya kuandika anuani

70.<area> kwa ajili ya kuonyesha sehemu ndani ya picha

71.<article> kwa ajili ya kuandikia makala (article)

72.<aside> kuweka maudhui mengine kwenye ukurasa

73.<audio> kuweka saudi

74.<b> kubold

 

Cheki video hii

https://youtu.be/6BbmHd2y19I

 

TAG Zipo nying ila kwa uchache tutakwenda kuzungumzia hizo 75. Hakikisha unalipata somo la nne ambalo litakwenda kuangalia kila tag katika ambazo zipo hapo juu na namna ambavyo inafanya kazi. Litakuwa ni somo refu hivyo hakikisha unaangalia video yake kwa umakin.

Mafunzo haya yanakujia kwa ihsani ya:-

Bongoclass.com

Web: www.bongoclass.com’

Email: mafunzo@bongoclass.com

 



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-10-28     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 768


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Mafunzo ya php level 1 somo la pili (2)
hili ni somo la pili katika mfululizo wa mafunzo haya ya php level 1 na hapa utajifunza namna ya kuandika faili klako la kwanza la php. Soma Zaidi...

Timu ya simba ina miaka 87 sasa toka kuanzishwa
Kutokea kuitwa Sunderland mpaka Simba, timu hii ilianzishwa mwaka 1936 Soma Zaidi...

Dalili za mimba kuanzia siku 7 Hadi 14
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba kuanzia siku 7 Hadi 14 Soma Zaidi...

Epuka malware (virus,work)ukiwa mtandaoni
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kuepuka malware ukiwa mtandaoni Soma Zaidi...

Kujaa kwa memory au hard disc
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vitu vya kufanya endapo memory au hard disk itajaa Soma Zaidi...

Kulinda account yako ya Facebook dhidi ya waharifu wa kimtandao
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kulinda account yako ya Facebook dhidi ya waharifu wa kimtandao Soma Zaidi...

Njia za kujilinda na malware
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujilinda na malware Soma Zaidi...

WIKIBONGO NI NINI?.
Bila shaka umekuwa ukijiuliza sana kuhusu wiki bongo hasa ni kitu gani. Hapa upo mahala sahihi. nitakwenda kukueleza hasa ni nini maana ya hili neno "wikibongo". Soma Zaidi...

THE DESTRUCTION OF THE ELEPHANT ARMY IN YEAR 570 AD.
This is the history of the attempt to destroy the city of Mecca and to destroy its people and destroy it in the history of the World. One leader, known as Abrah, organized a huge army to destroy Al-Qa'aba Soma Zaidi...

Tembo
Posti hii inakwenda kukupa sifa za mnyama tembo Soma Zaidi...

Buibui hupuruka ijapokuwa hana mbawa.
Nataka nikufundishe moja katika maajabu ya mdudu Buibui kwa lugha ya kimombo spider. Soma Zaidi...

Kama simu a computer yako inastack
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kufanya endapo simu yako au computer itastack Soma Zaidi...