MAMBO YANAYOCHANGIA ILI DAWA KUINGIA KWENYE DAMU VIZURI


image


Post hii inahusu zaidi mambo yanayochangia Ili dawa iingie vizuri kwenye damu, na mambo yanayoweza kusababisha dawa kuingia au kutoingia vizuri kwenye damu.


Mambo yanayosababisha dawa kuingia vizuri kwenye damu.

1. Njia inayopitisha dawa, kama dawa Inapitia kwenye  mishipa itaingia yote kwenye damu kuliko ikipitia kwenye nyama ya mwili

 

2.Dozi, ikiwa kubwa itasababisha dawa nyingi kuingia kwenye damu kuliko kama dozi ni ndogo.

 

3. Kiwango Cha dawa inavyotolewa kwenye mwili,kama mtu anakuwa vyakula vya kumaliza dawa nguvu,dawa itaondoka mapema kwenye mwili kuliko yule ambaye hatumii vyakula hivyo

 

4. Dawa inayopitia mdomoni na kwenye nyama ya mwili haifiki yote kwenye damu, nyingine hutolewa na kinyesi na nyingine na mkojo



Sponsored Posts


  👉    1 Mafunzo ya html kwa kiswahili       👉    2 Magonjwa na afya       👉    3 Mafunzo ya php       👉    4 Jifunze fiqh       👉    5 Maktaba ya vitabu       👉    6 Madrasa kiganjani    


Je! una maswali, mapendekezo ama maoni? tuma ujumbe wa meseji SMS hapo chini ili kuunganishwa na muhusika au bofya hapa

SMS SMS



Post Nyingine


image Aliyepaliwa na maji huduma ya kwanza itakuwaje
Vipi utamsaidia mti ambaye amepaliwa na maji? Post hii itakwenda kukifundisha jambo hili. Soma Zaidi...

image Je siku ya kwanza kabisa ya ovulation mimba inakuwa ni uhakika kupata mimba?
Watu wengi wanadhania kuwa kufanya tendo la ndoa katika siku hatari ni lazima kuwa utapata ujauzito. Hili sio sahihi kabisa. Post hii itakwenda kuangalia jambo hili zaidi. Soma Zaidi...

image Ishara na dalilili za Mtoto mwenye kuhara
postii hii inazungumzia dalilili za Mtoto mwenye Kuhara. Kuhara maana yake ni kutokwa na kinyesi chenye maji matatu au zaidi, pamoja na au bila damu ndani ya masaa 24. Kuhara kunaweza kusababishwa na maambukizo ya bakteria na virusi, ugonjwa wa matumbo ya uchochezi, Saratani, ugonjwa wa matumbo ya kuwashwa na kutovumilia kwa Lactose. Aina za kuhara ni kuharisha kwa maji mengi, kuharisha mara kwa mara, kuhara damu, kipindupindu na kuhara pamoja na utapiamlo mkali. Soma Zaidi...

image Dalili za saratani ya kwenye Njia ya haja kubwa.
Saratani ya kwenye Njia ya haja kubwa ni aina isiyo ya kawaida ambayo kitaalamu hujulikana Kama saratani ya mkundu.Mfereji wa mkundu ni mirija fupi iliyo mwisho wa puru yako ambayo kinyesi hutoka mwilini mwako. Saratani ya kwenye Njia ya  haha kubwa inaweza kusababisha dalili nkama vile kutokwa na damu kwenye njia ya haja kubwa na maumivu. Soma Zaidi...

image kuhusu ugonjwa wa Fangasi ya mdomo na ulimi hilo tatizo linanisumbua kwa mda napata muwasho juu ya ulimi naomba ushauli wako ili niweze kutatua hilo tatizo?”
Hivi badovunasumbuliwa na fangasi kwenye mdomo ama ulimi. Ni dawa gani umeshatumia bila mafanikio?. Soma Zaidi...

image Dalilili za tetekwanga
posti hii inazungumziaTetekuwanga . Tetekwanga(varisela) ni maambukizi ya virusi ambayo husababisha kuwasha, kama vile upele. Tetekuwanga huambukiza sana watu ambao hawajapata ugonjwa huo wala kupewa chanjo dhidi yake. Kabla ya chanjo ya mara kwa mara ya tetekuwanga, karibu watu wote walikuwa wameambukizwa walipofika utu uzima, wakati mwingine na matatizo makubwa. Leo, idadi ya kesi na kulazwa hospitalini imepungua sana. Soma Zaidi...

image Kazi za wahudumu wa afya wakati wa kutoa dawa kwa wagojwa
Hii post inahusu zaidi kazi za wahudumu wa afya wakati wa kutoa dawa, ni kanuni zinazopaswa kufuata wakati wa kutoa dawa kwa wagojwa. Soma Zaidi...

image Dalilili za mimba Kuharibika
Kuharibika kwa mimba ni upotevu wa hiari wa ujauzito kabla ya wiki ya 20. Takriban asilimia 10 hadi 20 ya mimba zinazojulikana huisha kwa kuharibika kwa mimba. Lakini idadi halisi labda ni kubwa zaidi kwa sababu mimba nyingi hutokea mapema sana katika ujauzito hata mwanamke hajui kuwa ni mjamzito. Soma Zaidi...

image Daliliza shinikizo la Chini la damu.
Shinikizo la chini la damu (hypotension) litaonekana kuwa jambo la kujitahidi. Hata hivyo, kwa watu wengi, shinikizo la chini la damu linaweza kusababisha dalili za Kizunguzungu na kuzirai. Katika hali mbaya, shinikizo la chini la damu linaweza kutishia maisha. Soma Zaidi...

image Dalili za ukosefu wa madini ya iodini (goiter)
Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili za upungufu wa iodini ambapo kitaalamu hujulikana Kama goiter. Goiter Ni Sababu ya kawaida ya goiter duniani kote ni ukosefu wa iodini katika chakula. Nchini Marekani, ambako utumiaji wa chumvi yenye iodini ni jambo la kawaida, tezi ya tezi mara nyingi husababishwa na kuzidi au kuzalishwa kidogo kwa homoni za tezi au vinundu vinavyotokea kwenye tezi yenyewe. Soma Zaidi...