SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #876 25-03-2023 08:21:08
Question Icon

Asalaam alaykum w wabarakat  ustadh je kama umeshiriki tendo la ndoa ktk mwez wa ramadhan kisha ukapitiwa na usingiz mpaka alfajir ikafika ukawa ujajitwaharish je unaweza kuendelea na swaum  bi maana swaumu yako itaswihi

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 876

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi