Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Asalaam aleykum naomba kuuliza mama yake marimu anaitwa nani?
Mariam alikuwa ni mtoto wa Imrani na mama yake aliitwa Hannah
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Eda kwa mwanamke aliyeachwa yaani mwanamke anapoachila katika eda yake anafata vigezo gani?
Mm na tanataka kujenga nyumba kama ya mtume Muhammad swalallahu aley wasalam ❤️. Je nitapataje ramani ya nyumba ya mtume Muhammad swalallahu aley wasalam
Assalamualaikum naomba kujua vigez vinavyofanan vya uhakiki wa hadithi, vya imamu bukhar na muslim
Mimi ni mwanaume na ninamiaka 32 naomba kujua maneno ya kikao cha tahyatu
Ukitaka kujifanza Quran kwe njia yacm Ina wezekana
Kuna Jambo lini ni tatiza ya kutofautisha ibada naعادي kwa mfano kula chakula hii ni ibada Au عادي ?