SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #412 19-02-2023 15:56:47
Question Icon

Assalam.alykum,sababu za mam aliejifunguwa kuvimba kwa uso

JIBU

Vyema apate uchunguzi wa daktari. Kuvimba kwa uso kunamahusiano na mambo mengi kiafya. Kwa mfano inaweza kuwa na matokeo ya matumizi ya baadhi ya madawa. Ama inaweza kuwa ni aleji ama shida nyingine za kiafya.

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi