Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Assalamualaykum naomba kupata elimu je mke wa Nabii Nuhu aliitwa nani?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 139
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nauliza hivi umefanya mapendi na msichani Bada ya miezi mitatu upo negative miezi Tano au SITA bado upo saw negative inakuaje hapo
Me naomba kuulza ivi kuna siku maalumu ukifanya tendo la ndoa endapo mke atapata ujauzito bc mtot atakuwa wa kiume ipo siku iyo?
Fangasi wa uume unatibuje kwa mafuta ya nazi na ni yep yanafananaje
Mimi ninaswali . Nilikuwa na tumia kijiti mimi kukitowa nasikiya maumivu ya tumbo sana
Dalili za ugonjwa wa kisukari ni zipi?
Habar docta samahani eti kwa mfano mtu akiwa yupo kwenye dawa ya pep ya kuzuia maambukizi ya ukimwi ata ikitokea amejichoma tena kwenye mazingira atarishi pia inazuia kwasabu unakua ushameza dawa na zipo anaendelea kumeza.