Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Assalamualeykum. Ukiswali rakaa ya 3+ 4 unasoma sura gani baada ya AIHAMDU.
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 264
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je ukitokwa na manii baada ya kufungua kinywa Kuna batilisha funga Yako ?
Jee tunaweza kuangalia wasia anoacha mgonjwa mahututi aliouacha
Assalamualaykum Mimi suali langu linasema Elezea mitihani mitano aliyopewa nabii Ibrahim na Mola wake na namna alivyoifaulu mitihani iyo
Mke wa mtu Ana weeza kutenguwa mumewe? N'a nguo yakuazima ina twahara?
Naomba kuuliza je mwanamke akiwa katika sikuzake anaruhusiwa kufunga
Asalam aleikum Mimi nna swali nataka hoja zinazo thibitisha kuwepo siku ya mwishoo Kwa ushahidi wa ayaa?