Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Chanjo ya HPV inalinda dhidi ya nini?
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Swali langu ni je chuchu kuuma inaweza kua ni dalili ya hedhi? Na je uwepo wa chunusi ni dalili ya mimba au hedhi?
najickia maumivu maumivu.. sanyingine nakuwa kam mkojo umenibana xn lkn hmn au unakuwa kidogo xn
JE kuhisi Kama miwasho au sisimizi inakutamba mwilini
Je vitameni E vinaweza kusaidia mwanaume asiyezalisha akaweza kuzalisha?
Mimi maziwa yalikuwa yanauma ndani ya siku 7 siku ya 13 nimeona damu je.ninamimba
Je mimba ya siku nane iaweza kuonekana kwenye kipimo cha mkojo?