Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Dalili za kisukari ni zipi?
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Hello. Habari mm naumwa fungus nikijikuna napata maumivu sana. Na nimechubuka kwenye mashavu ya uke na nimetumia dawa CANI_MAKS lkn naona hainisaidii chochote je nitumie njia gani ya asili au dawa gani nipone?
Habar,ivi naeza kupata mimba ikiwa natumia uzazi wa mpango njia ya kitanzi cha miaka 10?
Na je hiv vipimo vya kujipima mwenyewe vya mate ni vya kwel au some time huwa vinakosea
Mzazi wangu anaumwa na miguu magoti hana uteute
Nahitaji tiba ya magoti yaliyo kauka uteute
Habari za uzima nina ndugu yangu anaumwa kuna dude frani limetokezea kama ulimi wa pili lina msumbua sana sijajua ni ugonjwa gani
Mimi nikikojowa mkojo unakuwa njona pia kabla ya kukojowa nkiminya uume kunatoka kama usaha ila fangas kwenye ipo kwenye mbeg