Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Elezea mbinu 6 walizo tumiya makafiri wa maka katika kuhilikishwa wiisilamu
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 946
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Yale manii yanaotoka mwishoni mwa haja ndogo yanabatilisha funga?
Nataka kufahamu katika Sala ya Eid imamu anapo soma takbira Allah Akbar!! Maamuma baada ya kuuitikia kuna mapumziko fulani baina ya Takbira, pale una faaa usome DUA gani?
Kwa kutumia ushahid wa aya onesha kua quran ilishushwa katika usiku mtukufu wenye cheo
Eleza kwa muhtasari kwa nni waislamu ktk jamii yako hawafikii lengo la kwao pamoja.na kutekeleza ibada maalum
je inawezekn kuswalia nyumbn swal y usiku
Je km mtu aliishi miaka mingi bila kufunga na anamke wake halali wakati wakiishi walikuwa wanafanya matendo yote ikiwemo kujamiiana kipindi chote cha ramadhan kwa mda wowote iwe Asubuhi au mchana Sasa wameamua waanze kufunga swaum je Hawa watu watahusika na ile hukumu ya kufunga siku 60 mfurulizo? Au kuzilipa zile ramadhan walizo ziacha huko nyuma?