Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Ety mbn Kila nikiwek code ya kuwek picha inakataa shida nn
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 515
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Anaejua jinsi ya kutuma sms isiyo na namba ya simu kwa mfano sms ya. M pesa inavokua. Nani anajua
Nimepata maumivu makali sana ya tumbo wakati wa tendo na baada ya tendo la ndoa nikapata nafasi ya kupitia makala kadhaa katika blog yako ... Naomba unisaidie ni namna gani ntaepukana na maumiv haya?
Samahani mkuu naomba msaada wa kufahamu jinsi gani ya kutengeneza direct link ya apk ambayo unaweza kuweka kwenye website pia mtu akibonyeza ianze kudownload moja kwa moja mfano mzuri kama app ya sports pesa
Hellow habari naomba nisaidie kuslove tatizo hili kwenye MacBook laptop nilitaka kuadd wifi nilienda kwenye icon ya wifi then naenda kwenye network preference Niki click tu inaniletea preference error "there was an error in network preference" Sasa nimejaribu kurestart laptop lakini bado hiyo error haijatoka naomba kusaidiwa .
Mtaalam ninashukuru sana Kwa mafunzo yenu naendelea vizur na html lakin Kun kit kimenitatiza namn ya kuweka mfano mtihani ni code gani inatumika kuweka mtihan
Kaka naomba nisaidie Nilibadilisha email kwenye php admin nikaja kuirudisha inagoma inasema email tayari ipo na pale haipo hili tatizo nalitoaje