SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #341 16-02-2023 09:45:24
Question Icon

Habar Dr. Mimi ninaujauzto wa wiki16 ndo wa kwanza lkn nahis kichezo tumboni unaweza nijuza hili

JIBU

Wiki ya 16 kwa mahesabu ya kawaida ni sawa na miezi 4. Huu ni muda mubaraka kwa mtoto aliye tumboni kuthibitisha afya yake na uzima wake. 

 

Kuhisi vichezo ni ishara kuwa mtoto yupo salma na mwenye afya njema. 

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi