Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habar, samahan naomba kuuliza, endapo unapata maumivu makali ya tumbo upande wa kulia kwa chini na maumivu hayo unayapata wakati wa hedhi na wakati wa siku za kubeba mimba harafu maumivu hayo yanaambatana na kuunguruma je! Inaweza kuwa nini?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 274