Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Habar , samahani nimesoma makala yako ya ugonjwa wa fangasi wa mdomoni na ulimi , kijana wangu namwona anamadoa mekundu kwenye ulimi kama vibalango lakini vidonda hivyo haviumi, dalili hii sikuiona kwenye baadhi ya dalili ukizozitaja, hii nayo ikoje
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 247