SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #257 10-02-2023 08:20:39
Question Icon

Habari mm ni mjamzito na nina wiki mbili nazihisi hizo dalili zote kumi ulizoolozesha ila pia nina  wiki moja maji yanatoka ukeni je ni sawa na leo ndo cku yangu ya makadiliyo ya kujigungua ila nimemka Sina dalili yoyote ya uchungu napata na mawazo naomba nisaide nifanye nn

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 257

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi