Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Hello napenda kuuliza dalili za mwishoni kabisa za mama mjamzito kujifingua
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 319
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Naomba msaada wa vyakula vinavyo paswa kuliwa na mtoto wakati wa asubuhi
Dalili za ugonjwa wa kisukari ni zipi?
Habari zauzima waheshimiwa Mimi swali langu nikuhusu dawa na matibabu ya sekoseri napenda kufaham, kujua na kuweza kusaidia Jami yangu uliyo nizunguka na taifa kiujumla
Habari,Je mtu anaweza kufika hatua ya tatu ya ukimwi bila kuonesha au kupitia hatua ya kwanza au ya pili au zote kwa pamoja?
habari mimi apa nahisi na ujauzito lakin sina uhakika naomba ushauli wenu
Je mwanamke mwembamba ataweza jifunguaa Kwa njia ya kawaida