Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Inatokeaj mpaka unapata mimba
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 454
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Kuna mtu anatumia miwani na bado macho yanamuuma,je atumie dawa gani ,au afanye nini ili kuweza kuondoa tatizo hilo?
Yes na ikitokea kwa bahati mbaya unafanya ngono na mtu wa virus afu kondom ikapasuka kuna asilimia kubwa ya kukuambukiza??
habr? ni mazoezi gan yanafaa kwa kupunguza uzito?
Nina shida naumwa tumbo upande wa kushoto
Mapele yamekuw yakinitokea san na kuwashwa cjaelew hii kitu inakuwaje..naomba unipe jibu🙏🙏🙏
Mimi nina uti ambayo aiponi inajirdia rudia sasa sielew shida nn au nitumie dawa gan nina kama miez sita sasa naumwa uti naccki hari yeyote mbya wala dalili zozote mlizozitaja ila uti ninayo