Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je dalili ya tumbo kunguruma ni dalili za mimba
Huwenda ila sio lazima iwe mimba inaweza pia ikawa ni machafuko wa tumbo, ama mabadiliko ya homoni, ama dalili za kuingia period
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Hlw me kujuwa nilipima nyumbani mimba baada kukosa siku zangu kwa miezi 2 na niumwa hivyo majibu yakaja hivi. Je dr naomba unisaidie ni mimba ?
Mimi nilibeba mimbA mwez wa tisa ila mda huu naona majimaji na mtoto kachuka je nidariri za kujifungua au lha
Samahani Mimi siku hii ya leo nzima mdomo wangu Ni mchungu naomba unisaidie nijue sababu Ni nini
Je kama unaumwa joint za miguu, kiuno na unakojoa mara kwa mara na kichwa kuum sana utaweza kupona
Mwili unapungua sjiskii ham ya kula pia hii unaweza kuwa dariri ya vvu
samahn mim nin ujauzito wa miez 4 nilienda kupm nikakuta na malaria nikapew mseto huy alie nip dawa kanmby nawez kutumia coz nin ujauzito wa miez 4 je ni kweli