Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je huu ugonjwa hutibiwa kwa mda gani Wa kuvimba mapumbu na maumivu makali
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 739
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Habari me nashwali kama unayo PID unaweza kupata ujauzito na ukajifungua Salam
Me moyo unaendag mbio halaf kooni nakuwa kama kuna kitu kimeban mpk kweny kifua
Mapele yamekuw yakinitokea san na kuwashwa cjaelew hii kitu inakuwaje..naomba unipe jibu🙏🙏🙏
Ulimi Ume meguka meguka Kam kuliwa liwa iv nini tatizo?
Naomba kuuliza jee kama nime jamiiana leo naweza kwenda kupima kesho ukimwi
Je anaweza hisi ungumu pemben ya tumbo na maumivu kuzunguka kitovu