Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je kutoka uchafu meupe ukiwa una fanya mapenzi nini
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 333
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Hello habari za kazi samahani naomba kuuliza je mtoto akizaliwa na tatizo la tundu kwenye moyo Kuna uwezekanao akawa mlemavu WA viungo?
Ninasuali unaweza ukawa umepitiliza siku zako kwamuda wa siku 11 na ukapima ujauzito usioneshe je unaweza ukawa ni mjamzito naomba kujua
Samah doctor nina maumivu chin yakitovu siku za nyuma nilikuwa nakojoa mkojo ambao upo cloud na nyonga inaniuma mwili unajoto kal sielew ni UTI au
Nina miaka 23 nimefanya mapenzi siku ya pili baada ya kumaliza period lakini naona damu zinatoka ukeni sijui nini tatizo
Mfano umelala na mtu ukatumia kinga kwenye shugli gafla ukashtukizia CD imepasuka gafla ukatoa apo Kwa apo ivo unaeza ambukizwa vvu
Habali samahani mi natatizo nikama mapunye usiku huwa yana washa nakutoa majimaji meupe, tatizo hili na mda nalo taklibani mwaka namiezi nitumie dawa yaaina gani nipate kupona