Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je mimba ya miez 6 inasababisha kuumwa kiuno
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1044
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Ningependa kuuliza nimekutana namwanamke kimapenzi bilakutumia kinga baada yasiku 2nikaanza kupata maumivu ya kicwa na sasa wiki inaelekea kuisha nikiwa bado Nina hayomaumivu je inawezakuwa ishala ya maambukizi ya ukimwi?
Nahitaji kujuwa kwann nikiwa kwenye siku hatari, huwa najisikia maumivu ya chuchu, kitovu
Mama alie jifungu kabla ya mtoto kufika miezi sita anapaswa kukaa mda gani ili afanye tendo la ndoa
Ivi mafua ya mara Kwa mara, kuhisi uchovu, na kukosa hamu ya kula ni dalili za UKIMWI??
Naomba kuuliza kwa mtu mwenye tatizo la gonorea anapaswa kutumia dawa gani endapo tatizo lake lina kama mwaka mzima
Shida yang Ni kuwa mwez wa pil tarehe 28 ilikuw cku ya mwisho ya period akin ilikuw ya tofaut San nilitokwa na uchafu tu so sijui kam ilikuw Ni hedhi