Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je p2 inaweza kushindwa kufanya kazi?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 1271
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Na juz jmne nilitok km tui .na Leo yalikuwa mepesi kulik y juzi. Na kiuno mda mwengn kinauma.naomba msada
Je kama umeingia trh 12 ya mwez wa 1 nitajueje siku zangu sipl
Habari, nauliza kama ukiwa unakojoa mkojo mchanganyiko na partical nyeupe nini shida? Hii shida ilinipata nikaenda hospital wakanipa cefxine ikaisha hii Hali imerudi tena nimechoma ceftriaxone inj Bado ipo . Ni nini shida?
kama mwanaume amekukojolea na ana virus inaweza kuvipata?
Nina umr wa miak 26 jinsia yangu y kiume swar langu nilikuwa natak kufaamu mpez wangu Kila nkimwnglia anais maumvu kwenye uke wake mpak nampelekea kumchubua
Je kama tumbo lipo kama linavuruga chin ya kitovu hiyo pia ni dalili ya mimba changa?