Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je Quran ina sura ngapo?
Quran ina sura 114. Sura ya kwanz ani surat al fatiha na ya mwisho ni surat an nas. Ila ikumbukwe kuwa mpangilio huu sio kwa mujiu wa zilivyoteremshwa.
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nilikuwa naomba kijuwa uwo utawala wa banu umayyah ulikuaj hadi kuondoka kwake
Naomb kuuliza ukiswali witri katika baada ya ishaa vipi unaruhusiwa kuamka usik kwa ajili ya sunna nyingne
Je katika rakaa mbili za mwisho katika sala ya tahhijut unasoma tu surah alifatih basi au unasoma na surah zingine
Swali langu Ni hili,,,
"Thibitisha kuwa khalifa Othman alimrejesha mjomba wake kutoka uhamishoni kwa lengo gani?
Je itaondokaje hadathi kubwa kama pakikosekana maji
Naomba Dua za kusoma wakati wa funga