Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je, unaweza kupata mimba ukiwa haupo kwenye cku za hatari?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 911
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nina miaka 49, mwanamke.nimeenda hospitari nimeambiwa na presha nimepewa vidonge ila bado miguu inauma sio kawaida wiki mbili zimepita naomba msaada nifanyeje
Naomba kujua nada ya kutoa talaka Kwa mujibu wa dini ya kiislam utaratibu wa mgawanyo wa mahalo ukoje?
Nimejifungua Tarehe 21/02/2023 Mtoto Akiwa Kafa Muda Kama Wiki 3 Hivi Na Kazaliwa Haeleweki Ana 200gm Na Sura Hamna Ni Jinsia Tu Na Mimba Yangu Ilikua Ya Miezi 7 Tatizo Linaweza Kua Ni Nini? Na Nikae Muda Gani Niwe Tayali Kupata Ujauzito Tena?
Samahan mm napata maumivu baada ya kumarza tendo randoa shda inakuwa nn hasa pia ume wangu unasima kidogo unakuwa meregea hauwi mgum ashda nn hasa
Mm natokwa na uchafu mweupe mzito nasijisi km Nina mimba shida itakuwa Nini daktari
Je unawesa kujuwa Mimba ya wiki Moja