Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kinga ya mwili hupatikana vipi?
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Tumbo la mtu mwenye ujauzito linauma maeneo Gani na linaumaje yan
Mimi Nina tatizo LA kuwa nikimkojolea mwanamke shahawa baada ya dakika chache anakuwa anahisi maumivu makali tumboni mwake nimetumia dawa za hospitali lakini tatizo linazidi kuwa kubwa na si Kwa mke wangu tu nimejaribu pia Kwa wanawake wengine hali Bado ni Ile Ile.Nifanyaje Ili nikae sawa?
Nimesoma makala Yako kuhusu dalili za ukimwi ,nahitaji kujua ni Kwa muda gani mtu atachukua virusi kuonekana kwenye vipimo anapoambukizwa
Moyo kuuma na kutoka jasho jingi nn shida
Nisaidie how drug inafanya kazii mwilini na inapita sehemu gani na sehemu ganii na kwanini mtu mwenye peptic ulcer hatumii dawa hizi Adernal hormone ambazo ni hydrocortisone, prednisoloneand dexamethasone
Iko iv naomba kuliza nimeziona siku zaku tarh 5 nimekutan nammewngu tarhe kumi 11 tareh kumi17 nimeziona tan siku zangu jee shida nini