Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kuna madhara gani ninapotumia dawa za uzazi wa mpango yaani kuzuia mimba
Dawa za uzazi wa mpango kama zina madhara yanaweza kuwa haya
1. Kubadilika kwa siku zako
2. Kuongezeka kwa Majimaji ukeni
3
Kichefuchefu
4. Maumivu ya tumbo
5. Kukosa hamu ya tendo
Hayo ni madhara kwa ujumla ya dawa za uzazi. Ila hutokea mara chache pia hutegemea na mtu.
Sio wote wanapata hali hizo.