Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Kwanini ngozi huwasha mara kwa mara na nisehemu ile ile?
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 498
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mimi ni msichana wa umri wa miaka 25, nimeingia kwenye hedhi mara ya mwisho tarehe 15 mwezi wa 3, nilibadilisha mazingira na kwenda mkoani kwenye wiki hiyo ya hedhi na nilivyorudi nikakutana na mwanaume siku ambayo kwenye mzunguko ilikuwa salama. Hedhi ya mwezi wa 4 imechelewa imeanza wiki ya 3 sasa, nimepima kwa UPT imeonyesha positive. Je inawezekana kuwa nilikutana na mwanajme siku ya hatari kwamba mzunguko ulibadilika au vipi !!?
Ninasiku kama yatatu kichwa kinauma nakinapoa bado sijui nikitu gani naomba msaada
Nina umri wa miaka 19 jinsia wa kiume ninatatizo la kuwashwa kwenye korodani na ninatokwa na vipele baada ya kujikuna mbaka leo hii ninasiku ya 6 na tatzo hili n mala ya kwanza kunitokea naomba msaada
Kuna dalili naziona kama kichwa kuuma japo akiumi sana na sijiskii homa na kichwa kinauma upande mmoja wa kushoto na ni miez miwili sasa nimedate na mtu ambae simuamini je naweza kua nimepata maambukizi 😢doct
Mfano umelala na mtu ukatumia kinga kwenye shugli gafla ukashtukizia CD imepasuka gafla ukatoa apo Kwa apo ivo unaeza ambukizwa vvu
Nina miaka 49, mwanamke.nimeenda hospitari nimeambiwa na presha nimepewa vidonge ila bado miguu inauma sio kawaida wiki mbili zimepita naomba msaada nifanyeje