SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #152 01-02-2023 21:41:50
Question Icon

Lkn me najiulizaga swali korona virus na hiv ni virus kuna maemo wanasemaga virus hatibiki
Sasa kama hatibiki why wanaweza kutibu korona afu ukimwi hawawez kutibu ? Embu nisaidie dr kama unauwelewa ju ya hilo jambo nalojiuliza

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 152

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi