Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je, malaria husababishwa na nini?
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
nmeingia cku zangu trh 28 mwezi wa 3 na nkashiriki tendo la ndoa kwanzia cku ya 11 mpaka cku ya 18 lakn nmeona cku zangu tena trh 24 mwezi huu je sina ujauzito
Dokta tatizo la kuwa na maumavu juu ya kitovu baadae ya kumaliza mwezi amejifungua Nini chanzo?
Na je siku za hatari kwa mwanamke kupata ujauzito ni hizo nane tu? Ikiwa alipata hedhi tare 1 na kuanzia tarehe 11 Hadi 18 ndizo hatari?
Je kama utete unao Toka ukeni unakuwa na njano njano tatizo nn
Mm na mwashoo wa macho kila siku piaa yanaonekan ni dhaif San jee! Ni dalili ya nn??
Mimi nina uti ambayo aiponi inajirdia rudia sasa sielew shida nn au nitumie dawa gan nina kama miez sita sasa naumwa uti naccki hari yeyote mbya wala dalili zozote mlizozitaja ila uti ninayo