SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #33 26-01-2023 04:53:09
Question Icon

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28.nina tatizo la kutokwa na maji mengi ukeni muda ninapojamiiana hasa pale ninapokuwa nafika kileleni.yale maji Huwa yananikosesha Raha sana maana mpaka pale nilipolala panaloana .je tatizo hili husababishwa na Nini?

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 33

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi