Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Naomba kusaidiwa je kutoka na maji sehem za Siri baada ya tendo ni vibaya jmn
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 184
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mim naumia tumbon nasikia maumivu makali misuli inavuta.pia nikila chakula nashiba upande mmoja nashindwa kujua shida nn
Mm naumwa kwenye upande wakushoto juu tumbo linako azia
Ni kwamba tumbo linaniuma kwa Chini na Nina kojoa Mara kwa Mara lkn tulifany siku ya kwanz wakat natoka kwenye siku zangu je nayo ni dalili ya mimba au ni hofu ndy imenitawala
nina kizunguzungu nini tatizo maana siumwi kitu
Hbarai,mimi nina swali naomba msahada nilishea tendo na mtu ambae alikuwa na nia mbaya kumbe ni muathirika na baada ya mwezi tulienda kupima lakini mimi nikakutwa mzima na yeye alikuwa na maambukizi na toka hapo sina hamani je hii imekaaje?
Mm napata maumivu ya tumbo upande wakushoto chini