SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #749 15-03-2023 08:51:11
Question Icon

Naomba kuuliza mwezi wa 2 trh 14 nili sex na mtu mwenye ukimwi trh 15 nikaenda hospital nikapewa pepu nimetumia pepu na Leo ni siku ya mwisho nimalize dozi ila toka juzi Kuna dalili zinajitokeza Kama homa kichwa kuuma maumivu kwenye Koo samahani naweza nikawa nimeasilika

Samahani

Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.


Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 749

Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.

MASWALI YANAYOFANANA

Angalia Maswali Zaidi