Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Naomba nielekezwe ikhfau Shafawiya katka hukumu za kusoma Quran
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 607
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Asalam Alyqum Warhmatullah Wabarakat
Wakati wa swala ya jamaa kwa wanawake, wanasimama hali yakuwa vifundo vyao vya miguu vigusane, inamaan waswali huku wametanua miguu au wakiwa wamebana miguu na kunyoosha swafu kwa kugusana mabega tu...??
Unatoa maoni gani iwapo wanaojua watakuwa sawa na wasiojua kiutendaji
Asalam alaykum warahmatulah wabarakatuh, samahan maalim naomba kuuliza yakuwa vipi ikiwa mwanaume umezaa mtoto ambaye ni nje ya ndoa je ni nn haki ya mtoto kwako au ni wajibu upi u atakuwa nao mzazi huyo katika malez ya mtoto huyo
Uislamu wakati wa makhalifa ulipata changamoto nyingi sana ambazo zilipelekea kuwatia khofu waislamu wanafikiria mambo gani yaliopelekea kuondosja changamoto izo
Nilikua naomba unisaidie jinsi ya kunuia swala ya usiku ile ya haja
Asalam alykum nikuwa nauliza ety vifungu vya faradhi ni vingapi?