Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Naomba nifundishwe jinsi yakunuwia swala ya ijumaa
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 61
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Asalaaam aleykum ndugu naweza kupata. Maana ya jina la Ulya ndani ya quran tukufu. Sura na ayat
Swalaa ya istikhara yaswaliwa vip???
Asalam alkum mimi nimepewa talaka tatu pasipo na shahidi yoyote je hapo talaka amenipa kwa usahihi?
Mke atahitaji kukaa eda kwa muda gani nyumbani.na yapi anakatazwa mwanaume kwa kipindi hiko cha eda?.baada ya muda wa eda kuisha na hakuna maelewano je ruksa kwake kuondoka na ndoa kuvunjika??
Assalamualaikum naomba kujua vigez vinavyofanan vya uhakiki wa hadithi, vya imamu bukhar na muslim
Faida za kusali Sala za sunna zichambuwe