Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nasumbuliwa na acid tumboni inawezakuwa sababu ya mm kutoshika ujauzito??
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 554
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Je mtu anayewaudumia waathirika wa vvu lazma naye awe ameathirika?
Toka nianze kupata hedhi yangu sijawahi pitisha mwezi sijapata lakin saiv nimeona mabadiliko sijapa hedhi yangu mwezi mmoja toka nimeingia mwezi wa pili tarehe 22 sijapata tena na pia nakuwa najisikia mchovu mwili pia kichefuchefu mara mojamoja baada ya kla chakla sijajua hii ni shida gan naomba mnisaidie
Jabari Doctor Mimi nimeona hedging Tarehe 13/2 an 14/2 Lakini ilikuwa siielewe ilikuwa imetoka sio nyingi na pia ilikuwa inarangi Kama unsenda kwenye Weusi, pia chuchu zangu nikikamua zinatoka Maziwa nimejaribu kupima nyumbani kipimo kinasema negative ina mstari ujakolea wekundu unaonyesha Kama niliyoona kwenye period
ni sababu Gani wengine hawapat mimbaa na inasababishw na nini
shida yangu nikiishi na mwanamke matokwa na usaa
Mke wangu anatokwa na vitu vyeuope ukeni na me nipo mbali nae Sana nahitaji msaada wenu