Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Nataka kufahamu vitabu vya mungu vipo vingapi
Vilivyotajwa kwenye quran ni vinne 1. Zaburi 2. Tawrat 3. Injili 4. Quran
Hata hivyo vipo vingi. Karibia kila Mtume alipewa chake.
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Asalam ALEYKUM,,,Ninahoji kitu ki1" " ktk mawaidha flani ,shekh alitoa namna ya kuoga,(Janabah) shekh asema nivizuri ukaanza na kutawadha kwanza ndipo uonge,,Sasa iweje nianze na kutawadha Ndipo nioge,AMA kuna namna sijamwelewa,kwasbb sasa kila 1 awa Mtoa mawaidha kadri anavyojua yeye, asante,,Asalam
Kwa nini mnasema nguruwe ni najisi? Na tukila hatutendi dhambi?
Kama upo kwenye safi Au mstari wa katikati utatokaje ?kwenye safi na watu wana swala?
Je,ni ipi dalili itakayonijulisha kua Leo ni usiku wa lailatu likadri ili niombe hiyo dua?
Mimi ni mwanamke wa miaka 25..Nilikuwa nina kipindi kirefu kama miaka 3..Sijafanya mapenzi..Sasa baada ya kufanya wakati siku naingia Kwenye siku zangu nilipata maumivu makali sana ambayo kabla sikuwa nayo..Lakini pia nimeanza kupata maumivu ya chini ya kitovu na kiuno ambapo inaambatana na gesi wakat mwingine hadi kichwa kinauma na misuli ya miguuni..Naomba unisaidie shida ni nini?
Sababu za kuwa mwana adamu hawez kuishi bila ya dini